Mwandiko mtupu bila marks,mwalimu anapata wapi courage ya kuusifia!?
Nikikiotea kipepa basi nahakikisha nimepanga kazi nimeucharanga hadi nimshangaze mwalimu huko.
Kuna masomo yangu ambayo nilikuwa nanyooka nayo nayo nahakikisha najibu vizuri kuzidi wote na mwandiko nao ukinibeba basi mambo ni mambo.
Ila mengine nilikuwa kilaza tu.