Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,777
The fear of the Lord prolongs life,"He who runs from God in the morning, will scarcely find Him the rest of the day". Kijana mwema, ukawe na siku yenye baraka tele; Mungu akuonekanie.
I have no other God but You
I have no other God but You
For You have done what no man has done
And You will do what no man can do.
I have no other God (I have no other God but You)
I have no other (I have no other God but You)
For You have done for me (You have done what no man has done)
That's why I know You will (You will do what no man can do)View attachment 2036820
Hongeraa..hahahaha.. Mimi Niko kwa shayo nazimua hapa
🤣🤣🤣Irushe sasa hivi kumekucha...na mada yao ile haipo [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sana mkuu lemme take themNi furaha sana, unaanza shughuli zako na Mungu, na ghafla baada ya ibada yako na Mungu ya alfajiri.. unajikuta hofu yako mbele za Mungu inaongezaka ( imeongezeka) .. ( ghafla kuna aina maisha na aina ya dhambi unakuta unazichukia pindi hofu ya Mungu inapo kuingia kuongezeka), unajikuta sio yule wa jana.. ni rahaa sanaa..
Isaya 11:3
na furaha yake itakuwa katika kumcha BWANA; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;
Heaven Sent Saint Anne
SHIMBA YA BUYENZE
Extrovert Deeboyfrexh
View attachment 2036782
View attachment 2036783
View attachment 2036784
View attachment 2036785
mahondaw zingine hizo.. badae nikisogea mahala pa bundle la chuo nakuweka zingine mkuu
Siondoki hapa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa.. niko bize kidogo vumilia badae rafikiSiondoki hapa....
Please do the needful....
Asante. Nitarudi kucheki baadaye. Uwe na siku njemaHahahaaa.. niko bize kidogo vumilia badae rafiki
Amen, Mtumishi.Ubarikiwe sana mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amina nawe pia rafikiAsante. Nitarudi kucheki baadaye. Uwe na siku njema
Heeeh kumbe!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Duh..[emoji23] ni dume huyo kaka .. Frank Maston humjui?
Binti km binti, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Itakuwa hujauliza tu wenyeji[emoji23]Mtakatifu Saint Anne Karma Hivi kumbe Tukuyu hakuna migahawani ya chakula kila mtu anakula Kwake!!!
Nimezunguka natafuta pa kupata breakfast hamna asee.
Huwezi amini hii gari inabeba abiri kwa 2:4:3!!.View attachment 2036930
[emoji7]Ni furaha sana, unaanza shughuli zako na Mungu, na ghafla baada ya ibada yako na Mungu ya alfajiri.. unajikuta hofu yako mbele za Mungu inaongezaka ( imeongezeka) .. ( ghafla kuna aina maisha na aina ya dhambi unakuta unazichukia pindi hofu ya Mungu inapo kuingia kuongezeka), unajikuta sio yule wa jana.. ni rahaa sanaa..
Isaya 11:3
na furaha yake itakuwa katika kumcha BWANA; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;
Heaven Sent Saint Anne
SHIMBA YA BUYENZE
Extrovert Deeboyfrexh
View attachment 2036782
View attachment 2036783
View attachment 2036784
View attachment 2036785
mahondaw zingine hizo.. badae nikisogea mahala pa bundle la chuo nakuweka zingine mkuu
Umri bado sana 😌Binti km binti, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mwenyeji wee huutaki ukubwa?