Selfika na JF: Snap it. Show it

Big loss to your parents mpaka nawaonea huruma ( Mkeka wao umechanika )
 
Chukua soda kwa mangi, hakuna aliesalama bora umeliweka sawa hakuna dhambi ndogo hakuna dhambi bora kuliko dhambi ingine
 
Big loss to your parents mpaka nawaonea huruma ( Mkeka wao umechanika )
Wazazi wangu wako poaah sana na wana shine tyuuh, tabu iko kwako wee unaeteseka. Sindano imefika kunako eeeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepiga penyewe kwenye mshono, nasubiri kuona kelele za walioguswa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni kifurushi had useme stoo? Hebu heshimu sehemu unayopumzisha mwili na akili yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…