Selfika na JF: Snap it. Show it

Pilau naikubali sana
Manzi yangu kupika ile pilau hajui, sijui anafeli wapi
We itabidi uje umfundishe
Inabidi nije nimfundishe
napenda pilau sana,

Napenda liwe na hiriki ya kutosha,binzari nyembamba,pilipili manga kiasi linachangamka na vuazi vya kutosha,maana napenda viazi vya kwenye pilau

Kachumbari matata yenye ka pili pili Lakini siyo ya kabichi

Hasa likipikwa kwa jiko LA makaa

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Sana,napenda kusikiliza muziki unanisafirisha kimawazo

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Halafu sijui wanawake wote ndivyo mlivyo.
Hivi kwa nini mnapenda kutuma ujumbe kupitia nyimbo?

Kama mmegombana usiku sasa utajuta hizo message unazopata, zinapigwa nyimbo flani unaona kabisa huu ujimbe wangu🤣

We ni mmoja wapo.
 
Aisee
Mpaka nahisi njaa.
 
Halafu sijui wanawake wote ndivyo mlivyo.
Hivi kwa nini mnapenda kutuma ujumbe kupitia nyimbo?

Kama mmegombana usiku sasa utajuta hizo message unazopata, zinapigwa nyimbo flani unaona kabisa huu ujimbe wangu

We ni mmoja wapo.
mie ni mmojawapo
nasikiliza nyimbo kutokana na wakati niliopo

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…