Hahahaha unatembelea makalio siyo?? Anyway naona lile jeshi linaanza kupungua taratibu kwenye huu uzi sijui na mimi nijiengue tu maana naona ni wiki sasa sisomi nyuzi nyingine nashinda humu tu daah nipunguze sasa aise niwe naingia mara moja moja tu, see you in MMU.