Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo lako na wewe unataka wengi πŸ˜‚

Chagua mmoja basi ili ajijue kwamba anapendwa yeye tu..wanawake Wana huruma sn akijua dunia nzima unampenda pekeyake
Baada ya kumchagua Depal au mahondaw kwani umekubaliwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tuendelee tu mkuu jutafuta chochote kitu
 
unazijua pesaaa ..
Mzima lakini mkuu wangu Karma
Leo nitakuwa kunduchi aseee nyumba kubwaaa
Hahaaa sasa mimi hunigaii kwa kupatia au ndiyo kwa vile offer ilikuwa ya mahondaw mi nimedandia tu

Mie mzima kabisa mkuu wangu sijui wewe
Safi sana ni vizuri kuwa na nyumba nyingi unabadili tu mazingira
 
Unampaje pesa boss wako aseee ni uvunjifu wa protocal huo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Makazi mengi yana raha yake, unakuwa hauwezi kuwa unapakinai sehemu
 
Hahaaa sasa mimi hunigaii kwa kupatia au ndiyo kwa vile offer ilikuwa ya mahondaw mi nimedandia tu

Mie mzima kabisa mkuu wangu sijui wewe
Safi sana ni vizuri kuwa na nyumba nyingi unabadili tu mazingira
Akiwa anaongea na Mimi anaijifanya mlala Hoi

Mkuu Kijana wa hovyo hovyo kumbe Hadi kunduchi Kwa Wanene wenzio Una nyumba
 
Akiwa anaongea na Mimi anaijifanya mlala Hoi

Mkuu Kijana wa hovyo hovyo kumbe Hadi kunduchi Kwa Wanene wenzio Una nyumba
😿😿😿 Sio kweli mkuu, tunazungumza kwa code mkuu wangu, naisha hapo nzese moja .. mie na kunduchi wapi na wapi.. tulikuwa tumaanisha naenda kuchukua chupa kule kunduchi beach huwa naziuza zile mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…