Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha.........ngoja wenyeji wa Dodoma waje watie neno hapa kwenye utamu wa Kuku wa Chako ni Chako
Katika dodoma moja ya eneo naonaga la kiwaki sana ni hapo yaani hapajawai kabisa nivutia hata dk moja.. kuna wabunge wanaenda kununua pale itapendeza waje watueleza utamu wa kuku wa chako ni chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…