Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Hawachelewi kujinyonga haoNasikia huko mko na hasira sana ni kweli?
Nina rafiki amezaa na mtu wa huko mtoto wake akilia ni anajitupa hovyo hovyo. Rafiki angu anamwambia mi hasira yako ya kihehe siitaki huku anakafinya [emoji3][emoji3]
[emoji2956][emoji7][emoji120]Memories kibao ziko hapa.[emoji8]
Safari Iwe njema kwako Mdogo wangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hima maana[emoji1787][emoji1787]Huyo labda nimnyongee mmea [emoji3]
Pombe siyo chai[emoji23]Hii roundbout tuliwah kula mzinga sitasahau pombe mbaya sana
Unatusagia kunguni dogoHawachelewi kujinyonga hao
Wala sio uji wa lishePombe siyo chai[emoji23]
Mathalani siyo Togwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala sio uji wa lishe
Kujinyonga dakika sifuri.Unatusagia kunguni dogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujinyonga dakika sifuri.
Mtu anajikuta ameivaa kesi ya mauaji[emoji16]
Na vile mmechanjiwa ulevi kwenye damu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambaaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2018837
Cant feel my face[emoji85]
Ujambo dogoView attachment 2018837
Cant feel my face🙈
Bablai miwani yako mbona meusi sana na haina temples?View attachment 2018837
Cant feel my face🙈
Hahahaaa Leo unanisagia Sana kunguni ,,nkifika IRINGA ntakupa picha uwaone wazee wa CABINET wamekaa wanapiga pombe za majabaNa vile mmechanjiwa ulevi kwenye damu[emoji16]
Miwani ya mbao hio chalyanguBablai miwani yako mbona meusi sana na haina temples?
Heheheh ni kwamba ndevu huon au jeuri tu😅Ujambo dogo
Chief Mkwawa.Hahahaaa Leo unanisagia Sana kunguni ,,nkifika IRINGA ntakupa picha uwaone wazee wa CABINET wamekaa wanapiga pombe za majaba