Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh yani na wewe umesoma shule? Kweli elimu yetu ni mfu.
 
Bwana pole pole ndio alikua anatamba nayo saiv mpaka wanyonge tunayapanda
naskia Kuna joto balaa Mimi mwenyewe mpitaji tu dar sipawezi kwetu kwa Wala mbwa huko
Nasikia huko mko na hasira sana ni kweli?

Nina rafiki amezaa na mtu wa huko mtoto wake akilia ni anajitupa hovyo hovyo. Rafiki angu anamwambia mi hasira yako ya kihehe siitaki huku anakafinya πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…