Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mzee akukute hata ile mouse unaichezea,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alinivuruga nkaaza kupiga yowe kama ka mbwa kanakata roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣
Sasa we kwanini ulikuwa unaleta utukutu na unajua ukigusa computer ni kesi???

Ila bongo bana....
I bet kama mlikuwa na TV basi ilikuwa na kakabati kake 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…