Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
[emoji23]Hivi ni kweli ulikuwa unaroga?Baada ya kuachana na tunguli nafanya ujasiriamali halali wandugu.. Sirogi tena hivyo tusiogopane[emoji23]View attachment 1995575
Baada ya kuachana na tunguli nafanya ujasiriamali halali wandugu.. Sirogi tena hivyo tusiogopane[emoji23]View attachment 1995575
Mabudha hawarogi uchawi nilijifunza kwingine nikawa nafanya featuring na ubudha[emoji2827][emoji23]Hivi ni kweli ulikuwa unaroga?
Wabudha wanafundisha hadi kuroga??
Naomba uweke tena ule uzi wako wa "Buddhist college"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Hivi ni kweli ulikuwa unaroga?
Wabudha wanafundisha hadi kuroga??
Naomba uweke tena ule uzi wako wa "Buddhist college"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]A day in the Buddhist college
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo. Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23]Mabudha hawarogi uchawi nilijifunza kwingine nikawa nafanya featuring na ubudha[emoji2827]
Breed gani kaka mkubwa?
Pitbull terrier mkuu.Breed gani kaka mkubwa?
Aisee, wapo vizuri sana..Pitbull terrier mkuu.
Huhitaji kuandika chochote bali unabofya space mara moja kisha unatupia picha yakoPost content can't be emptyView attachment 1995603
[emoji16]kesho[emoji2902]drAmka utafune dawa [emoji23]
Umesema huwa unatoa assist mara moja mojaUsinicheke dada sasa hivi mimi ni mtumishi natumika madhabahuni mwa Bwana