Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani nilikuwa nakutafuta nikujuze,asee[emoji16]
Kuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yako πŸ˜‚ ananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu πŸ˜‚ huyu G jamani

Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.

Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.
 
Kuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yako [emoji23] ananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu [emoji23] huyu G jamani

Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.

Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajua kakomaa na depal[emoji41]

Ule mwandiko nilijua tu watu kama nyie akili kubwa lazima ujulikane[emoji2902][emoji2902]
 
Si nilitaka kufuta screenshot zile[emoji41] dadeq
 
Unajua nimecheka[emoji16],yule jamaa mshenzi,

Mdada wa watu itakuwa hajauona ule uzi,na kama kauona sijui kajisikiaje
πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka kwa masikitiko.

Dada atakuwa kaumia, sema yule bouya namjua.
Nilinyamaza kibingwa nisije geuziwa kibao πŸ˜‚
Jamii ikaniinjoy bila emoj 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23] nimecheka kwa masikitiko.

Dada atakuwa kaumia, sema yule bouya namjua.
Nilinyamaza kibingwa nisije geuziwa kibao [emoji23]
Jamii ikaniinjoy bila emoj [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimshangaa ujue[emoji41]

Eti kavaa sutuali ya jeans lipana,asee yule jamaa kazingua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajua kakomaa na depal[emoji41]

Ule mwandiko nilijua tu watu kama nyie akili kubwa lazima ujulikane[emoji2902][emoji2902]
Hivi sio yule niliyemwambia naogopa kukupiga madongo si ajabu tushajuana na ID ingine?

Ila mod πŸ˜‚ si wangesubiri kidogo?

Mwandiko uleee, heheh.
 
Mnasemaga hivyo afu siku toto likitokea useme limevaa jeans bwagio na siyo zuri kama la kwenye pichaπŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ndio maana naipendaga tu filter ya B&W ili siku ya siku mtoto wa mtu asipate sonono kubwa.

Kajisemea Sky tuache kuchat na nyie kwa muda πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…