Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee yaani ulivyosema ndiyo ikabidi nimzoom nianze kumuangalia huku nikivuta kumbukumbu ya yule mwingine. Nimeanza kuona wanafanana kwa mbali sema alivyonyoa ni kama amekuwa kabinti wakati ile nyingine alikuwa kama mmama hivi.

Nitakuonesha mtu mwenyewe..
Halafu si unajua nywele fupi vile zinampa mtu muonekano wa tofauti Mdogo wangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee yaani ulivyosema ndiyo ikabidi nimzoom nianze kumuangalia huku nikivuta kumbukumbu ya yule mwingine. Nimeanza kuona wanafanana kwa mbali sema alivyonyoa ni kama amekuwa kabinti wakati ile nyingine alikuwa kama mmama hivi.
Mimi naona hii ya sasa ndio amekaa kimama ila ile nyingine amekaa kibinti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…