Nikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama NingePyeeeee π€£π€£
π€£π€£π€£ unataka uanze kuwa na mambo ya kizee zee?Nikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama Ninge
Hahah! Mambo ya kizeeβ¦..π€£π€£π€£ unataka uanze kuwa na mambo ya kizee zee?
Leo macho3 yamekubali Ku log in jf π karibu asee
Tuachie wazee...Hahah! Mambo ya kizeeβ¦..
Asante tupo pamoja kwenye 1 na 2
Sawa wazee wangu ππ½Tuachie wazee...
Usipotee sana, au tukuletee edge + ili usiwe unatukimbia kimbia.
Malizia basi na Methali 3:24
Proverbs 3:24Malizia basi na Methali 3:24
Umepotelea wapi dogo??[emoji2][emoji2][emoji2] nipo Anne
Asante sanaπProverbs 3:24
Ulalapo hutaona hofu;
Naam,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.View attachment 1984802
Mkuu ukinisomea 5:18 Waefeso utabarikiwa sanaπ
Tena msilewe kwa mvinyo,ambamo mna ufisadi;bali mjazwe Roho.Mkuu ukinisomea 5:18 Waefeso utabarikiwa sana[emoji120]
Thanks a lotπππTena msilewe kwa mvinyo,ambamo mna ufisadi;bali mjazwe Roho.View attachment 1984808
Mvinyo hudhihaki,kileo huleta ugomvi;Ukiona inampendeza bwana hebu tusomee na hio Methali 20:1 tuikaribishe jpili vyema kabisa.. [emoji120][emoji120] nikalale na kulala..
ππππ UbarikiweMvinyo hudhihaki,kileo huleta ugomvi;
Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.
Chukua na huoThanks a lot[emoji120][emoji120][emoji120]