Selfika na JF: Snap it. Show it

"Kabinti kadogo? Mkuu I'm a woman with two beautiful kids


Hiyo picha ya zamani kidogo.

Ulivyonifikiria ndiyo nilivyo


Vipi wewe?
Idadi ya watoto haina uhusiano na umri wa mtu ..wengine wanawahi kuzaa wengine huchelewa..Nina uhakika upo late 20s

Camera ya simu uliyotumia ni camera iliyoboreshwa so picha si ya zamani km ulivyoniaminisha


Mimi niko late 70s


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Camera iliyoboreshwa inapimwaje?

Niko katikati ya 30s, serious.

Late 70s uringe? Nina hakika nimekuzidi, kama sio weka picha ni'prove.
 
Camera iliyoboreshwa inapimwaje?

Niko katikati ya 30s, serious.

Late 70s uringe? Nina hakika nimekuzidi, kama sio weka picha ni'prove.
2016 kurudi nyuma ni nadra kukuta camera inapiga picha Kali Kama hiyo😁..hii picha haizidi miaka miwili au mitatu nyuma

Kuhusu kukuzidi umri hapana..wewe ni mjukuu wangu kabisa na hao wanao ni vitukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…