Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mbona mimi nilikuwa nakaa backbench na nilikuwa nasikiliza
Mwenzio nilikuwa napiga story tu na marafiki alafu maswali yakiulizwa hakuna anayejibu πŸ˜…πŸ˜…

Wewe juzi nilikuomba unipige pindi la Calculus ulikataa, leo acha Karma anipige pindi la Geography huenda nikaelewa Uzeeni πŸ™ˆπŸ™ˆπŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
 
Ulikuwa unataka ku-Differentiate na ku-Integrate kitu gani? Shule bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…