Mkuu ukiandika muda kwa mfumo wa 24HRS huwa haina haja ya kuweka AM wala PM. Kwa sababu kwa mfano hapo uliposema 15:52 tayari unakuwa umeshatofautisha saa 9 ya alasiri (3:52PM/15:52) na saa 9 ya usiku (3:52AM/03:52).
Kwahiyo haikuwa na haja ya kuweka hiyo PM. Muda kwa mfumo wa 24HRS huandikwa 15:52 au 1552HRS.

"My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight, Aluta Continua"View attachment 1971583
Mkuu ukiandika muda kwa mfumo wa 24HRS huwa haina haja ya kuweka AM wala PM. Kwa sababu kwa mfano hapo uliposema 15:52 tayari unakuwa umeshatofautisha saa 9 ya alasiri (3:52PM/15:52) na saa 9 ya usiku (3:52AM/03:52).
Kwahiyo haikuwa na haja ya kuweka hiyo PM. Muda kwa mfumo wa 24HRS huandikwa 15:52 au 1552HRS.
Seems you were good at Geography especial yale maswali ya masaa kwa kuzingatia locations (eastings and Northing). Kama hautajali nikuletee mia 2 mbili zangu unipigishe pindi kama la Mchikichini enzi zile πππ€Έπ½