100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,565
basi mie nafanya just for fun, nikikosa kazi nafanya kama hobby..., thanks kwa kunipa taarifaπππEditing zako ni next level aisee. Congrats...
Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1970336
unataka kunigombanisha na Lizzy πππHaaa, kwa uliyofanya hapo nina uhakika na ua usoni umelitoa ila ukalirudishia tena tusione [emoji41]
Shindano la kula ugali [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
kama anatokea west itakuwa ni ule ugali wao wanaita fufu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ugali gani mbona unanata kwenye mikono hivyo au hawajanawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko vizuri.basi mie nafanya just for fun, nikikosa kazi nafanya kama hobby..., thanks kwa kunipa taarifaπππ
Fanya hivyo bana!!ππΎππΎFasta tu, Namalizia soon , Nina Sleep debt [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ntakua sawa soon.
Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot πππ
View attachment 1970336
Unataka kuniambia and 100 others ana "Ua REMOVER"????ππππHaaa, kwa uliyofanya hapo nina uhakika na ua usoni umelitoa ila ukalirudishia tena tusione [emoji41]
Ngoja nije kuchukua hiyo mbogaLilete [emoji23]
Ninachokupendea nkamu,upo vizuri sana kwenye mambo ya kula.View attachment 1970329
Weekending[emoji4][emoji4]
Naona unaitendea haki taaluma yako[emoji109]Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1970336
Ninachokupendea nkamu,upo vizuri sana kwenye mambo ya kula.
Stop over[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Miguu inaniuma,kile kiwanja yale mabonde[emoji1785]View attachment 1970425
Nimemtuma 2 months b4 aje kuhakikisha unapata ulinzi na hausafiri kama ulivyosema βΊοΈππππ thanks for the laugh and 100 others ....naona unahakikisha mpishi anafurahi ili pilau lako la Christmas liwe la maana. Smart dude ππΎππΎππΎπ
Alafu Mr Bodyguard atakushoot vipi na wewe ndo uliyemu-assign ππ Ila mi sipendi kuzingwa sa sijui itakuwaje π€π€