Selfika na JF: Snap it. Show it

Muite babe Jack Palladino Yupo na picha zote[emoji2960].
Tunaanza taratibu,one after another[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dj tuleteeeeeeeeee!!!
Wenye wivu wahamie Burundi[emoji108]
Ngoja nianze safari ya kuelekea Burundi, manake huu wivu nilionao utaniua, siwezi kuvumilia kuwaona mkipiga picha kwenye zero distance πŸ€—πŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
 
Ngoja nianze safari ya kuelekea Burundi, manake huu wivu nilionao utaniua, siwezi kuvumilia kuwaona mkipiga picha kwenye zero distance [emoji847][emoji12][emoji12][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Ikiwezekana msiangalie kabisa tukipost[emoji38].
Distance siyo zero tena...imeenda kwenye negative [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikiwezekana msiangalie kabisa tukipost[emoji38].
Distance siyo zero tena...imeenda kwenye negative [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli umeamua kuniua Mjukuu kwa wivu, yaani negative distance kabisa?

Wacha niwahi ndege ya jioni ya Burundi, sitavulia kuona hizo pozi zenu za negative distance 😜😜
 
On one and two it's Dj Grahams, waleteee [emoji445][emoji445][emoji445].

Yaani umefanya nikumbuke wakati ule nipo kwenye brass band ya Malikia Elizabeth [emoji28][emoji87][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio tunaingia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kweli umeamua kuniua Mjukuu kwa wivu, yaani negative distance kabisa?

Wacha niwahi ndege ya jioni ya Burundi, sitavulia kuona hizo pozi zenu za negative distance [emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Negative 3.5,,ipo saresare na lens yangu ninayoivaa.
Tunazidi kwenda mbali zaidii ..leo nadhani tutafika negative kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…