Selfika na JF: Snap it. Show it

pole sana mchumba. Bado upo Dar?
Eti amepanda ngazi kaniacha chini,nashangaa zinavyotembea

Nikamwambia mimi sipandi,..
Akashuka kunichukua ili tupande wote..sasa hapo ndo alijikoroga

Ameweka mguu wakati mimi bado wakati tulikubaliana tunaweka kwa pamoja huku nimemshika mkono..
Nikamvuta

Yaani nilitaka umiza mtoto wa mtu


Mbeya hivyo vitu havipo jamani


Bado nipo mchumba.
 
Nikirudi nitakucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…