Married Mjukuu, ila Bibi yako ameridhia nimtafutie msaidizi ili baridi lisiniue, manake miaka 78 kasoro hii damu inakuwa imepoa ππππ»ππ».
Ungependa hii saa ikufikie lini Mjukuu huko Machame?
Fanya unitumie Ugoro hata wa buku 5 mjukuu, Babu yako hapa nina arosto mbayaπππ»ππ»ππ»