Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, yaan mahindi hayana bei had watu washachoka kulima hili zao mweeeeh.
Nilipo dalili ya mvua vimanyunyu now,mahindi yapo kibao watu hawajauza hadi ya mwaka jana wanayo[emoji23]

Mwezi ujao raia wanaenda mashambani tena kuandaa mashamba[emoji16]

Nilipo dumla moja wanauza jero[emoji849] huko vijijini sijui wanauza mia tatu[emoji2902][emoji2902]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…