Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,367
Kuna siku kufumba na kufumbua mtu unajikuta umeanikwa jf[emoji1787]View attachment 1948340
Daladalani na Pisi kali,sijui nichukue namba.[emoji848]
Picha nimepiga kwa kuibia[emoji23][emoji23]
Lazima uwe mstaarabu kidogo kuomba, otherwise anaweza kukuaibisha mbele ya Kadamnasi 😀Hivi huwa mnapataga wapi ujasiri wa kuomba namba kwa mdada uliekutana nae kwa daladala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku mlambwe vibao sijui mtarudishia
Ooh utaniletea lini?Maisha yafaa nini bila pombe??
Nina dawa Yako ya kuacha pombe.
Ukipata muda njoo uchukueOoh utaniletea lini?
[emoji1][emoji1]
Mbona mamsapu halinogi lakini?
Weeeeeh[emoji34]Nilisave zile pic za nyonyo atulie nitapost bdae
Dude [emoji15][emoji15][emoji15]
Daladala ya wapi hiyo maana kama nimemfananisha with a certain left handed lady.
Hivi huwa mnapataga wapi ujasiri wa kuomba namba kwa mdada uliekutana nae kwa daladala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku mlambwe vibao sijui mtarudishia
Kuna siku kufumba na kufumbua mtu unajikuta umeanikwa jf[emoji1787]
Labda uwe na grands kichwani ndiyo waweza kujitoa ufahamu,Lazima uwe mstaarabu kidogo kuomba, otherwise anaweza kukuaibisha mbele ya Kadamnasi [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tungekua na ka apk ka ku scan namba ya simu kwa simu ingine bila kujua ahhh ungemtumia picha tu baadae asiehh nilikuona mahali fulani na kapicha unatumaMkuu nataka nijaribu labda nitakula Kimasikhara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tungekua na ka apk ka ku scan namba ya simu kwa simu ingine bila kujua ahhh ungemtumia picha tu baadae asiehh nilikuona mahali fulani na kapicha unatuma
[emoji28][emoji28][emoji28]Weeeeeh[emoji34]
Hapana bossAu ni wewe madam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikujoin hapo kwenye Ugali, manake naona ugali ziko mbili hapo 😋😋.In Nyasa[emoji8]View attachment 1948480View attachment 1948481
Karibu,ugali mtu sita[emoji16]Naomba nikujoin hapo kwenye Ugali, manake naona ugali ziko mbili hapo [emoji39][emoji39].
Kesho naomba nije nikusalimie hapo Songea Mjini.