Uko sahihi,ukisoma haraka haraka bila tafakuri utajua wana hamasisha usichanje ila ni kinyume kuwa usipochanja wao utawapa kazi ya kukuzika(utakufa)..
Hivyo chanjeni msife..
Nilisikia Zanzibar mpaka sasa ni watu 11,000 tu ndiyo wamechanja kati ya dozi 100,000 zilizopo.