Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
ile moja umebahatishaKama nilivyokufumba mchana sio?
Tulia, pisi yako ya kawaida mno bana. Haitufikiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uki'Ligi ligika mwenyewe.
G9t.
ile moja umebahatisha
hebu weka ya pembeni na mbele tuone, usikute hata uliweka sponchi kule nyuma
Hongera mno. Me inadondoka Sana, nikijitahidi kwa siku inaweza pita bila kudondoka Ila week sitoboi.Hahaaa sasa hapo kwenye kudondosha simu hapo ndipo shida ilipo. Ila ungekuwa mtunzaji mzuri kama mimi ungefaidi sana hii brand.
Uzuri samsung zipo hadi za laki mbili siyo lazima ununue zile ambazo bei yake ni ugonjwa wa moyo. Kwahiyo hizo hata ukidondosha unaipaki tu kiroho safi.
Hukubali kushindwa.ile moja umebahatisha
hebu weka ya pembeni na mbele tuone, usikute hata uliweka sponchi kule nyuma
🚮ile moja umebahatisha
hebu weka ya pembeni na mbele tuone, usikute hata uliweka sponchi kule nyuma
kuna shotiNini kinasababisha main switch ijizime?
Nini kinasababisha main switch ijizime?
bado sijaona, nimeweka picha karibu 10, nyie vipicha viwiliHukubali kushindwa.
Sana aisee. Kadondosha mistari ya kibabe sana humo.
bado sijaona, nimeweka picha karibu 10, nyie vipicha viwili
hamjiamini, halafu acheni kujilinganisha na pisi yangu, ule ni moto wa petrol
Shoti tena? Hebu usinitishe, nipo mwenyewe.kuna shoti
hio ni circuit breaker
endelea kuburudika na azam embe mkuuazam embe yenye alchohol........selfika laleni salama
mimi GERALD nawakubali sanaView attachment 1947830
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sayansi niliiachia form 2. Tiririka kiswahili tu 😂Short circuit.
kapandishe juu tu,Shoti tena? Hebu usinitishe, nipo mwenyewe.
Umezima paap nikahisi ni luku, nimenunua nimeweka bado hauwaki. Ndio nikapata akili ya kuchungulia main switch nakuta kale kadude kamejifyatua 'kujizima.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera mno. Me inadondoka Sana, nikijitahidi kwa siku inaweza pita bila kudondoka Ila week sitoboi.
Kupaki simu labda uwe huipendi Sana. La sivyo kila ukifungua droo utakuwa unaumia.
Shoti tena? Hebu usinitishe, nipo mwenyewe.
Umezima paap nikahisi ni luku, nimenunua nimeweka bado hauwaki. Ndio nikapata akili ya kuchungulia main switch nakuta kale kadude kamejifyatua 'kujizima.
we mtoto utaniua mieUnapenda ligiView attachment 1947835