Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeshakugawa haki vile [emoji3]
 
Ni kweli lakini ukiona kila ukiingia kuoga unakuta kengele zimezidi kuning'inia saaaanaaaa ujue fainali hiyo [emoji2][emoji2]

Hawa watoto wazuri wazuri kama akina Depal wanataka damu ambazo bado nyekundu sio damu ya mzee kama mimi
Weeeeee kwa uzee upi ulionao? Nayaonaga maandishi yako baharia 😎
 
jicho la kuombea hela au la kutisha watoto

Huwa akiniangalia tu nampa hela hata kama hajaniomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…