Mkuu mimi ndiye manzi yangu huyo kama unajua kuangalia linganisha vizuri, ni cheat ili iweje, kinachokutatanisha ni camera angle, angalia skin tone na kila kitu
mwanamke ni yule yule mi niliwaambia nimetunza silaha za maangamizi, iteni mkombozi wenu.