Morning mrembo, hope uko vizuri.Hey...
Inategemeana na vitu unapenda/tamani kufanya. So tuanzie hapo.....
Unatamani kufanya nini na nini ukienda??? Unataka ule utalii wa jumla (kutembezwa sehemu zote popular Zanzibar) au kuzurura tu mwenyewe/na company yako binafsi???
Kuhusu accomodation...za around 50k ni Guest Houses so nothing fancy! But some of them are decent/comfortable enough....
Huwa nafurahia sana hekima yako bro,Mungu aendelee kukubariki.Dadaangu Saint Anne na mtani wangu Behaviourist tufanyeni ule upepo mchafu umepita ... Mada yetu hii ni nzuri na wengi tunakimbilia huku tukipata stress kule kwingine.... Nyie wote ni watu wema...! Natambua kutofautiana kupo hakukwepeki popote... Lakini sisi sote kwa utashi na hekima zetu tunaweza kutumia kupishana kwetu kama funzo na ukomavu wa kiakili kwa kumaliza tofauti zetu kiroho safi.... Selfika imetuunganisha basi naomba isitutenganishe... Asanteni sana na Mungu awabariki wote[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Camera imepasuka[emoji16]Tuone.
Nioneshe ukiamka..
We mzuri aisee,napenda sana shorthair.
Naenjoy uumbaji wa Mungu.
Hahaha nacheka na vingi JR. Ila vyote ni kwa uzuri...Kipyaa .. Nimekinaniliu mwenyewe getoni[emoji23]View attachment 1939172
Jamani 😂Camera imepasuka[emoji16]
Mbalizi?View attachment 1940022View attachment 1940023View attachment 1940024
T274BEG [emoji1477][emoji1477]View attachment 1940025
🤣🤣🤣🤣🤣Nisimulie kimoja loh![emoji23]
Hata napajua huko Mbalizi sasa 🤔Mbalizi?