Behaviourist pls on bended knees Naomba basi tusiendelee kujibishana brother![emoji1545]Unamtaja Mshana ambae hata humuheshimu.Ungekuwa unamuheshimu ungekaa kimya kwa kuwa alishaomba haya mazungumzo yaishe.
#Lunatics
Mbona hata wewe umeendeleza mjadala?Unamtaja Mshana ambae hata humuheshimu.Ungekuwa unamuheshimu ungekaa kimya kwa kuwa alishaomba haya mazungumzo yaishe.
#Lunatics
Yaishe dada pls jamani hebu tufanye mengine sasaMbona hata wewe umeendeleza mjadala?
Ina maana wewe pia haumuheshimu?
Kumuheshimu au kutokumuheshimu hilo anajua yeye na Mimi mkuu.
Usianze kunipigia ramli tu kwamba simubeshimu.
😆😆😆😆 unahisi mpaka hapo nshakaribia kushiba ehhh? 🙃Hapa mtu anashiba hapa? Au ushapeleka
Tonge kumi tayari Boss [emoji1787].
[emoji3]Tutagawana Madafu mwisho wa Mwezi [emoji1787], Hizi nimetumwa tu nizipeleke mahali nimaamua kusnap.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unahisi mpaka hapo nshakaribia kushiba ehhh? [emoji854]
[emoji3]
Jana nilisahau kuselfika na dola za watu,zilikuwa na thamani ya 1m tzs,
Cha ajabu nilikuwa na notes 6 tu mkononi za 50$[emoji23].
Kipyaa .. Nimekinaniliu mwenyewe getoni[emoji23]View attachment 1939172
Hiyo sio shida, na mboga ya kutosha kabisa unapata...cha msingi usiwe unapenda mgumu kama wa wasukuma maana kusonga si mchezo 🥴🥴Mimi hivyo labda viwe kumi na tano afadhali [emoji1787]
Mimi niliishia kuzishangaa na ilikuwa mara Yangu ya kwanza kushika dollari.[emoji1787], Mi lazima niselfike nazo hata counter [emoji1787]