Sana yani.....it's kind of unbelievable sometimes!
Hmmm...sina hakika kama ndivyo ila kwa jinsi mi nnavyopenda sunset π₯΄π₯΄ huwa nafurahia & naona inapendeza popote pale. Ngoja ntatupia ambazo nnazo (mazingira tofauti tofauti ) alafu utaniambia π
Ni kule kwenye jukwaa la siasa.Nilitumia haki yangu ya kutoa maoni nikasema kuwa kuna kiongozi fulani wa nchi hakuna cha maana anachofanya,yuko tu busy kuzurura hovyo kama yale Mapaka yasiyofugwa.Nikaishia kuzibwa mdomo kwa siku saba!πππ