Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,718
- 830,771
- Thread starter
- #106,781
Mungu akubariki sanaView attachment 1930555
mwanasimba mapema tu kwa mkapa tarehe husika
Mungu akubariki sanaView attachment 1930555
mwanasimba mapema tu kwa mkapa tarehe husika
atanibariki zaidi ukinunua tiketi yako mapemaMungu akubariki sana
bhasi ata ukifanya ya kumshawishi aliyekaribu atawakilishaNiko mbali ndugu yangu na my time not makangability
Dogo salimiaaaawengine ndo tulikuwa tunazaliwa..
Ila Kuna Anko zetu humu Jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umesoma Sangu Sec dogo
Bado nasubiri utume sura yako jamaniDuuuuh!![]()
Bebe naomba unnunulie jezi ya Simba ehView attachment 1930555
mwanasimba mapema tu kwa mkapa tarehe husika
Zanzibar???
Bebe wala hili sio la kuomba ...ni muhim kuipata kabisa mapemaBebe naomba unnunulie jezi ya Simba eh
Hapa swty ni kunambia rangi ipi na size😊😊Bebe naomba unnunulie jezi ya Simba eh
Ile ya blue size ndogo babyHapa swty ni kunambia rangi ipi na size![]()
Bhasiiii nasubiria maelekezo ilo limeisha..Ile ya blue size ndogo baby
Bhasiiii nasubiria maelekezo ilo limeisha..

Si ile kabisa maalum kwa ajili yako ...