Selfika na JF: Snap it. Show it

kwa jinsi unavyokaangizaga.. mapishi yako lazima ushindwe tuu kula road
Hivi we Mgiriki Jr VI ushawahi kusikia wali na maharage ya mama ntilie yanavyonukia au u??? Ugali wenyewe ukisikia njaa inakuja ghafla.

Shida company...unakula hata mtu wa kuongea nae huna unaangalia sahani tu jamani πŸ˜€πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Dah.. nikajua Shida hiyo kumbe kampani tuu imeisha hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…