Namaanisha kutwa nashinda stand kuuza karanga.,akipita mchana atanikuta,ndio mitaa yangu ya kujipatia Mia mbilimbili za karanga.
Si kwamba nauza karanga usiku.
Business idea; usiku watu wanarudi nyumbani au hotelini kupumzika na kukutana na wenza....wanahitaji energy booster. Usiku ndio mda sahihi wa kuuza karanga zenye energy booster