Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Hadi Sasa sidhani km nitavaa.Hebu jaribu siku nione. Uzuri suruali haimkataagi mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijaribu.
Mi nilijifunza sketi ndefu ikaishia kunidondosha kwenye ngazi. Sina hamu tena
Hahaha asiione mama mchungaji hii post jinsi ilivyoiuwa soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimefurahi unakunywa lite kaka...soda zinaua
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimefurahi unakunywa lite kaka...soda zinaua
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nishamzoea huyoHahaha asiione mama mchungaji hii post jinsi ilivyoiuwa soda
Shida zote za nini hizo 😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee[emoji1787]
Sketi ndefu inabidi utembee taratibu kwa umakini
Hebu tuone 🤣Mwili wangu ni mdogo sana kumlinganisha na yeye
Ila ujiandae na FIRE EXTINGUISHER maana sie ndo kina wale 😃🙈🙈 Au ubadili mawazo mapema 😏Same blood line..aya ufanye mambo lizzy..
Uzuri wote mnatoka hukohuko[emoji1787]Ila ujiandae na FIRE EXTINGUISHER maana sie ndo kina wale [emoji2][emoji85][emoji85] Au ubadili mawazo mapema [emoji57]
Ndio vizuri [emoji23]Shida zote za nini hizo [emoji2]
[emoji3][emoji3]Perfect combination...mimi mwenyewe ni wakutoka hukohuko "mndenyi"..so tutaendanda vizuri.Ila ujiandae na FIRE EXTINGUISHER maana sie ndo kina wale [emoji2][emoji85][emoji85] Au ubadili mawazo mapema [emoji57]
Asante..kwenye harusi nitakupa kitengo cha vinywaji...sorry,i mean kitengo cha decoration.Uzuri wote mnatoka hukohuko[emoji1787]
Hamuwezi kuchomana
Naomba kitengo Cha vinywaji [emoji39]Asante..kwenye harusi nitakupa kitengo cha vinywaji...sorry,i mean kitengo cha decoration.
🤣🤣🤣 Kwahiyo hapo ni moto kwa moto 🤔😁Uzuri wote mnatoka hukohuko[emoji1787]
Hamuwezi kuchomana
Hmmmm 🤔🤔[emoji3][emoji3]Perfect combination...mimi mwenyewe ni wakutoka hukohuko "mndenyi"..so tutaendanda vizuri.
Kumbe "Tukunyema" limewahi kukubalika kabisa 🙂
Aiseeee!!