Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana Asante.
Basi mzigo wako utaukuta kwa Katibu wako. Ila naomba siku nyingine Mlinzi asinizuie kuingia, unajua nilisafiri maili nyingi kuja kukuona Mheshimiwa PM๐Ÿ˜€๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿป๐Ÿƒ๐Ÿป
 
Hizi sifa haziwezi pasua kichwa chako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapa nimeamua nisiende mbali,Nimekusifia kitumishi kwa nidhamu[emoji1787]
Nilitamani niende mbali zaidi[emoji4].

Mtumishi usipoiondoa leo michoro utakuwa unawapa wale jamaa nguvu.
Ujue weekend wameniahidi kutoka na mimi... weekend ndio imeanza hivi.

Hebu fanya kuwapiga gap kabla hawajakuwahi,iondoe ile michoro halafu utakuwa umeshinda.
 
Baba alifanikiwa kuniachia rangi na mguu wake.
#black.

Nasubiri uondoe michoro Mtumishi...
Unaharibu picha nzuri namna ile[emoji1751]
I've been thirty something years discovering that the queen of all colors is black.

Sina shaka miaka mingi ijayo (70) nitakapotwaliwa ntakutana na mzee wetu na kumshkuru sana kwa kutuletea 'a black beauty mtumishi'
 
Mtumishi una maneno[emoji23][emoji23]

Haya toa michoro kabla hutujaenda mbali.
 
Hizi sifa haziwezi pasua kichwa chako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapa nimeamua nisiende mbali,Nimekusifia kitumishi kwa nidhamu[emoji1787]
Nilitamani niende mbali zaidi[emoji4].
Umenilaza bila kula tayari mtumishi mwenzangu.

Kwa haya maneno nimeshiba kabisa na moyo wangu umejawa furaha isiyo kifani
Mtumishi usipoiondoa leo michoro utakuwa unawapa wale jamaa nguvu.
Ujue weekend wameniahidi kutoka na mimi... weekend ndio imeanza hivi.

Hebu fanya kuwapiga gap kabla hawajakuwahi,iondoe ile michoro halafu utakuwa umeshinda.
Mama mtumishi hii sehemu iliyobaki ntaimalizia 'magotini'

Naelekea mlimani weekend hii, and...

'Amin amin nawaambieni' mtu yeyote atakayempa mama mtumishi mvinyo hasira na Bwana itamuwakia.
 
[emoji23][emoji23]
Baba Mtumishi hivi unaijua vizuri njaa au unaisikia?[emoji38]
Utaamka kula usiku.

Baba Mtumishi fanya mambo yasiwe mengi,ondoa ile michoro...mbona unaninyanyasa hivyo lakini[emoji23],unamnyanyasa yatima kweli[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ