Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila Mtumishi Pep yaani bado umechora chora picha Jamani ..
Na ulivyo HB,hiyo michoro inaharibu picha..embu itoe yote basi ili ushinde hii battle kwa asilimia zote

Au unataka nikupe mfano?
 
Ila Mtumishi Pep yaani bado umechora chora picha Jamani ..
Na ulivyo HB,hiyo michoro inaharibu picha..embu itoe yote basi ili ushinde hii battle kwa asilimia zote

Au unataka nikupe mfano?
Mama mtumishi HB ni Head Boy? baba mtumishi sio mwanafunzi ati 🤣 🤣

Mtumishi mwenzangu tukiondoa hiyo michoro vijana wa mataga watani 'decode' kuna nyuzi kadhaa wamekataa 'kutofautiana'
 
Mama mtumishi HB ni Head Boy? baba mtumishi sio mwanafunzi ati

Mtumishi mwenzangu tukiondoa hiyo michoro vijana wa mataga watani 'decode' kuna nyuzi kadhaa wamekataa 'kutofautiana'

Basi naiondoa hiyo HB naweka Gentleman.
Mtumishi umekaa kigentleman Sana aisee

Ondoa michoro basi,acha uoga Mtumishi.
 
Basi naiondoa hiyo HB naweka Gentleman.
Mtumishi umekaa kigentleman Sana aisee

Ondoa michoro basi,acha uoga Mtumishi.
Mtumishi mwenzangu huoni hizi sifa zitapasua hiki kichwa kitu ambacho kitapelekea watumishi tusionane physically?

Pamoja na yote, wacha tu niseme ukweli kwamba mtumishi mwenzangu kwamba you really is a 'lady'👏👏👏
Yote kwa yote...atukuzwe yeye aliyetufinyanga kwa mfano wake.

Hii michoro ntaiondoa mama mtumishi, lakini sio leo (Usisahau sijawahi kuwa promisless fella)
 
Moyo wangu umeburudika sana kuona mama mtumishi ana rangi adhimu ya chocolate.

Ama kwa hakika atukuzwe yeye awezaye kuumba na kuwa 'modeling' watumishi wake
Baba alifanikiwa kuniachia rangi na mguu wake.
#black.

Nasubiri uondoe michoro Mtumishi...
Unaharibu picha nzuri namna ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…