Mwenzenu mwalimu mkuu wangu msaidizi amelezwa alfajiri ya leo yuko ICU imedhihirika kabisa ni COVID, Jana alikuwa kwenye send off ya mwanae hapo Cathedral. Tumetimbwilika nae wee. Alfajiri ya leo kafikia ICU. Yaani leo kazini kila mtu kanywea wenye roho ndogo wakaanza kulia eti wanahisi wameambukizwa
. Tuombeane heri Jamani