Kwakweli hata mimi nashangaa sana. Niruhusu nipige ramli (sio changanishi) japo nimestaafu
Karibu sanaAisee kumbe upo zanzibar utukaribishe na sisi siku 1
[emoji2][emoji2][emoji2]kilichouzwa ni kilinge mkuu
Hulu kwema kabisa babu[emoji103][emoji103]Marahabaaa! Kwema huko? Idd imeisha bila karibisho. Tukutane Desemba 25 [emoji51][emoji51][emoji51]
Ooh nisawa tu babuKwakweli hata mimi nashangaa sana. Niruhusu nipige ramli (sio changanishi) japo nimestaafu
Mwalimu wangu aliyenifundisha kusoma Biblia ni usiku wa kuamkia jana tu nimemuota jana mchana nawaza nimpigie cm kumbe yuko muhimbili siku moja tu kafa.Mwenzenu mwalimu mkuu wangu msaidizi amelezwa alfajiri ya leo yuko ICU imedhihirika kabisa ni COVID, Jana alikuwa kwenye send off ya mwanae hapo Cathedral. Tumetimbwilika nae wee. Alfajiri ya leo kafikia ICU. Yaani leo kazini kila mtu kanywea wenye roho ndogo wakaanza kulia eti wanahisi wameambukizwa[emoji26]. Tuombeane heri Jamani
AMENLike na itika AAMENView attachment 1865239
Hii ya kuombea mkopo kabisa world Bank
I miss youAMEN
Hakuna mwenye dimples asiyejua kutabasamu. Ninavopenda tabasamu sasa[emoji14]