T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Vizuri sana kama uko poa shemeji yangu wa kienyejiPoa shemeji yangu.unaendeleaje?
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
Vizuri sana kama uko poa shemeji yangu wa kienyejiPoa shemeji yangu.unaendeleaje?
Mmmmmh wee lol.Sio mie hy. That's my friend
niweke kapicha hapa au nikutumie kwa pm?Naomba nikuone tafwazali
Wallah hii ni dhamana yangu pale mlangoni TPB BANK,



Nakusalimia pia.Nakusalimia
Kumbeeeh babuuh mbna skua najua sasa,Mjukuu bibi yako huyo ala!
Hii sio tosha yangu,,,,punguza kunyanyua vyuma.
Weka na wee yako, afu aunt anakusalimia, ume msusa mno why?Selfie msisahau kuweka mjue
Hahahaha yangu utazimia .aunt gani ananisalimia?Weka na wee yako, afu aunt anakusalimia, ume msusa mno why?
MmmhHii sio tosha yangu,,,,punguza kunyanyua vyuma.
Weka tu hapa na wengine wakuone babaniweke kapicha hapa au nikutumie kwa pm?
Haya tukachukue mkopo dear wanguWallah hii ni dhamana yangu pale mlangoni TPB BANK,![]()
Acha kuzuga basi kipenziHahahaha yangu utazimia .aunt gani ananisalimia?
Vyema sana shemeji wa kienyeji 🧚♀️🧚♀️Vizuri sana kama uko poa shemeji yangu wa kienyeji
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
Amen mtumishi wa bwana..ameshashindwa tayari.Hallelujah!Pepo shindwa!!