Selfika na JF: Snap it. Show it


Vipi maumivu ya vidonda yapoje kwa sasa??
Kuna watu huwa wanasema mapenzi yanauma,hawavijui tu vidonda
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu ya hivi vidonda/majeraha siwezi kulinganisha na maumivu ya mapenzi

Vidonda vinauma wewe acha kabisa Saint Anne

Maumivu ya mapenzi ni maumivu ya kujitakia halafu yanauma vile unavyoyaka wewe yaume ila maumivu ya vidonda yanauma yanavyotaka yenyewe yaume

Maumivu yamepungua kwa sasa nayasikia kwa mbali
 

Unawaambia nini wanaosema maumivu ya mapenzi yanauma zaidi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…