Bado kitambo tu
Yapaswa kujitakasa
Siku hiyo ikifika uwe umetakasika
Mwokozi Yesu akija, tumlaki kwa furaha karibu sana Mwokozi njoo utuokoe
Bahari na milima vitamkimbia akija na utukufu wa babae je utasimama au utakimbia

Kila jina siku hiyo litaitwa
Na matendo yako yote yataletwa
Utajibu nini?nitajibu Nini?
Mbele ya mahakama iliyo kuu
Mungu mwenyeji akiwa ndiye hakimu
Utajibu nini?nitajibu Nini?