Selfika na JF: Snap it. Show it

Pamoja na kuchelewa, happy birthday mama mchungaji.
Utukufu kwa Mungu ambae amefanya yake kwenye uumbaji wako,yaani alitumia udongo adimu sanaa.

Huyu kijana aliye/atakaye uteka moyo wako akawe mume mwema kwako nawe ukawe mke mwema kwake,kubwa zaidi Mungu akupe hitaji la moyo wako na kukukirimia baraka zake zaidi na zaidi.

All the best my dear.
 
Amen

Akhsante kwa maombi mazuri kwangu


Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…