China nao wako Moto.
Walijenga daraja la kioo..watu badala waogope kupita eti wakawa wanaenda wengi kutalii..
Likawa linabeba watu wengi kuzidi uwezo wake..matokeo yake likabomoka