Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee situmi hata kwa dawa😀😀
 
Hahahaha
 
Ni sikukuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi

Sikukuu sikukuu
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Kukesha na kuomba tu
Ananiongoza
Sikukuu sikukuu
Ya kuoshwa dhambi zangu tu.


Moyo tulia kwa Bwana
Kiini cha raha yako
Una njia mbili tena
Yesu ndiye njia yako[emoji3590][emoji176][emoji3590][emoji176][emoji3590][emoji3590]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamwandama Yesu kwa kusafiwa
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo
Kiwe Safi kijito chatiririka
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Kuoshwa kwa damu
Itutakasayo ya kondoo
Ziwe Safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo
[emoji176][emoji177][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji3590][emoji3590][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…