Huhuhuhuh kumbe wote tulisoma PCM? Phys ilikua inanisalit ila nilkua naiambia lazima tupambane na sikuogop, mwsho wa siku nikatoka na C yangu nzuri tyuuh.

Nilikaza jamani sio kitoto, khaaaah yaan shule hata hamu ya kula haipo, muda wote unakimbizana na notes, review, yaan tafrani tupu, now time imebaki history, inshaallah .