Selfika na JF: Snap it. Show it

Mchumba ya kweli haya Saint Anne
Watu wabaya wanataka tuachane[emoji23][emoji23]
Wananichafulia CV.

Mwasiti ft Chid Benz _Hao[emoji445][emoji445][emoji445]
Wananop nop wakisema mabaya
Wanatoptop mdomoni wanatema faya
Wanatuunguza hawafai
Usipende cheka nao usiwape hata hai
Usipende kula nap hata ikiwa chipsi yai
Nananana.....
Hivi nani alisema maneno yanaua
Na Nani ambaye alizaliwa anajua?


Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Hao haooooo

Vibazarani Kukaa maneno kutoa nimeshazoea
Vicheko kawaida kwani hayo yote maisha
Ninachokipata nakijua mwenyewe [emoji8]
Si pesa Wala si gari ni mapenzi Yale ya dhati[emoji108][emoji3448][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji445][emoji445][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…