Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,134
Sijawahi kupenda spaghetti. Zinanishindaga
Sijawahi kupenda spaghetti. Zinanishindaga
Bado pilipili tuSahani ina umri sawa na wangu[emoji1787]
Mama ameniambia ilinunuliwa 199_View attachment 1764028
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Naomba bracelet hiyo
😀Hebu weka yenye rangi basii
kwapa kama lina jasho ivi
Huo utege mnakuaga watamu sana ninyii
Leo nitaweka ya rangi wizo.[emoji3]Hebu weka yenye rangi basii
Weka yenye rangi inaonekana ulitokelezea.Leo nitaweka ya rangi wizo.
Halafu selfie yako sijaiona muda mrefu Sana.
Nowdays nimepunguza kutumia pilipili.Bado pilipili tu
Hehehe!Ungejua hata sikutokelezea[emoji1787]nilikuwa namsindikiza mgeni barabarani.Weka yenye rangi inaonekana ulitokelezea.
Afu Wifi, sisi tuliofanana na baba zetu hatupendagi selfie [emoji3]
Heee[emoji134]Huo utege mnakuaga watamu sana ninyii
😂😂😂😂Heee[emoji134]
Matege yanaliwa[emoji44]