Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Hahaaaaaa
Aah nikituma picha unanisema mara nna flat screen/English figure, yaani umechangia sana kunikatisha tamaa weweπAcha maneno mingi tupia vitu vya english figure!
Hiyo sawa imejaa huzuni nyingi mno..ipunguze kidogoNi sawa tu!!π
Hizo Ni kejeliiiAah nikituma picha unanisema mara nna flat screen/English figure, yaani umechangia sana kunikatisha tamaa wewe[emoji57]
Kwahiyo baada ya kukemea ndoto ikaamua kukupeleka kwa boss kubwa!!unahatari ujueYaani leo nimeota mods wameublock huu uzi,ika bidi niamke kukemea.
Siku wakijaribu kufanya hivyo nadhani tutaandamana hadi nyumbani kwa boss mkuuππππππππ
Tunapozungumzia ujasiri...tunamaanisha huu hapaπ€π€π€ mkuu
Ewaa
πππππππKwahiyo baada ya kukemea ndoto ikaamua kukupeleka kwa boss kubwa!!unahatari ujue
Hiyo sawa imejaa huzuni nyingi mno..ipunguze kidogo
@Mshana Jr amekimbia kilinge chake, anamtafuta mrithiEwaa
Safi boss,ila bado umejificha mno.
Unaogopa nini???
Hakuna wa kukupiga[emoji23],Mshana yupo.
Weka picha nzimanzimaπ@Mshana Jr amekimbia kilinge chake, anamtafuta mrithi
π€£Yaani leo nimeota mods wameublock huu uzi,ika bidi niamke kukemea.
Siku wakijaribu kufanya hivyo nadhani tutaandamana hadi nyumbani kwa boss mkuuππππππππ
Sasa sijui walitaka tuende wapiππππππ€£
Hahaaaaaa.Weka picha nzimanzima[emoji23]
Usiogope,Mshana ametandaza ulinzi..na mimi nimeomba,wingu la Mungu limetanda.
Kuwa huru kabisa..jisikie upo Iringa.Hahaaaaaa.
We jamaa upo aisehπ€£
Ngoja nirudi mby tuonane macho yalivyo mekunduu utakimbia,Kuwa huru kabisa..jisikie upo Iringa.
Wakati unajiandaa kuja,tupia kwanza kapicha.Ngoja nirudi mby tuonane macho yalivyo mekunduu utakimbia,
π π πYaani leo nimeota mods wameublock huu uzi,ika bidi niamke kukemea.
Siku wakijaribu kufanya hivyo nadhani tutaandamana hadi nyumbani kwa boss mkuuππππππππ