Fireboy DML..dogo namkubali sana.I can feel the vibration
Of your body moving
You put your body into it
I can see what you're doing oh
Don't go
Baby carry me dey go
Baby
Carry overload
Baby
Shey the thing dey enter body o?
Wanatunyanyasa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaaa
Fireboy DML..dogo namkubali sana.
We usiniambieWikiend namuachia apigwe na upepo kidogo.
Nikimbana muda wote si nitajikuta namuua mtoto wa watu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie ongeeni naye tu,msiogope[emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwanzia muda huu wewe ni Shem darling wangu🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Nini kimetokea HS wanguJamani jamani
Ni hapa jirani tu. Daah hapo kwenye picha staki uone macho yangu mekunduu!!Oh kumbe upo Iringa jirani hapa[emoji4]
Hiyo picha nzuri ila umeificha mno,embu punguza punguza Emoj boss wangu[emoji847]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wanataka tuwe Kama wao.Wanatunyanyasa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huyo mkaka alivyovaa[emoji85][emoji85][emoji85]Nini kimetokea HS wangu
Shem darling mambo yalikuwa mengi.
Kwa mwandiko wako ulivyokaa kaa unaonesha na wewe ni mhanga wa hii American style HSHuyo mkaka alivyovaa[emoji85][emoji85][emoji85]
Wee wapi huko shem darling?Shem darling mambo yalikuwa mengi.
Hapa kwetu kuna mkesha wa kusifu na kuabudu Shem darling karibu
Nafurahi kusikia hivyo wakienyejiMambo yanakwenda poa sana tu mkuu
Kwa mwandiko wako ulivyokaa kaa unaonesha na wewe ni mhanga wa hii American style HS
Ni kwa huku Shem darling mwambie mtakatifu akulete..lakini nitapenda kukuona ukiwa umepiga kati ya hizo mbili hapo
Haki naimani kwa hapa tuko wanawake wengi.na ndipo sehemu tunakopigwa changa la macho pia..Eeh ndiwooo. Na kale ka style kao ka kukunja shati/sweta hadi hapo kwenye kiwiko. Kwa kweli huwa namwambia baba Mchungaji asubiri kanza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Washaliwa wapuuzi hawa😂😂😂