Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi siyo africa ambako mwanamke anayegawa hovyo anaonekana malaya
Hata sijui Karma,
Siwezi kumuita mtu malaya eti kwa vile kanipa utamu, hivi naanzaje[emoji23]. Halafu kugawa hovyo kama ulivyosema ni mindset zetu tu, hakuna kitu kama "kugawa hovyo", unless kwa wauzaji na wanunuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…